KARIBU UWESESCO - SKULI YA SEKONDARI YA UWELENI; P.O.BOX 100; TEL: +255 24 245 6182; EMAIL: uwesesco@gmail.com ;WEB: http://uwesesco.blogspot.com UWELENI MKOANI PEMBA...
Showing posts with label RESULTS. Show all posts
Showing posts with label RESULTS. Show all posts

Matokeo ya Kidato cha NNE Mwaka 2015

Sunday, 21 February 2016

Assalaam alaykum warahamtullahi wabarakatuh,
Baraza la Mitihani Tanzania Necta limetangaza rasmi matokeo ya kidato cha NNE kwa mwaka 2015, Hongera kwa wale wote waliofaulu, tunamuomba Allah awape moyo wa ufahamu waendelee kusoma zaidi na zaidi, na wale ambao kwa bahati mbaya hawakufanikiwa basi wasivunjike moyo, wajiendeleze in shaa Allah Mola atawafungulia penye kheri na wao.

Kupata matokeo haya tafadhali bonyeza HAPA au kitufe hapo chini

http://tanzania.go.tz/matokeo_2015/Olevel.htm

Continue Reading | Maoni

Matokeo ya Darasa la 6 na la 7 Zanzibar 2015

Tuesday, 19 January 2016

Assalaam alaykum warahamtullahi wabarakatuh, Baraza la Mitihani Zanzibar kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imetangaza matokeo ya Mtihani wa darasa la sita na la saba kwa Shule za Zanzibar za Serikali na Binafsi, kuona matokeo hayo tafadhali bofya kitufe hapo chini.

http://www.moez.go.tz/?cq=matokeo_msingi
Kwa waliopasi Wamshukuru Mungu kwa neema yake, na waliokuwa hawakufanikiwa wasivunjike moyo In Shaa Allah wajiendeleze, Allah atawafungulia.
Continue Reading | Maoni

Matokeo ya Kidato cha Pili 2015 Zanzibar

Assalaam alaykum warahamtullahi wabarakatuh, Baraza la Mitihani Zanzibar kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imetangaza matokeo ya Mtihani wa kidato cha Pili kwa Shule za Zanzibar za Serikali na Binafsi, kuona matokeo hayo tafadhali bofya kitufe hapo chini.


Kwa waliopasi Wamshukuru Mungu kwa neema yake, na waliokuwa hawakufanikiwa wasivunjike moyo In Shaa Allah wajiendeleze, Allah atawafungulia.


Continue Reading | Maoni

NECTA yatangaza matokeo ya kidato cha sita

Thursday, 16 July 2015

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Mtihani kidato cha sita, tafadhali bofya kitufe hapo chini kuona.

Hongera kwa wote waliofaulu na pole kwa wote waliofeli, wasikate tamaa wajaribu bahati yao tena kwa kumtegemea Muumba, kwani jitihada haiondoi Kudra.
Tafadhali waambie marafiki kuhusu sisi.


Continue Reading | Maoni

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE YATOKA

Saturday, 14 February 2015

Baraza la Mitihani Tanzania NECTA limetangaza rasmi matokeo ya kidato cha Nne na QT 2014, kupata matokeo haya kwa ujumla tafadhali bonyeza kitufe kilichopo hapo chini

http://41.188.155.122/csee/matokeo/csee/2014/olevel2014.htm



kupata Matokeo ya Skuli ya Sekondari ya Uweleni Boneza Kitufe hapo Chini

http://41.188.155.122/csee/matokeo/csee/2014/CSEE%202014%5Cs0501.htm

Continue Reading | Maoni

Matokeo ya Mtihani kidato cha pili na darasa la saba Zanzibar yatoka

Sunday, 25 January 2015

Wizara ya Elimu na Mafuzo ya Amali Zanzibar imetangaza rasmi matokeo ya Mitihani ya kidato cha pili na darasa la saba, kupata matokeo haya kwa jumla tafadhali boyeza kitufo hapo chini.

http://www.moez.go.tz/?cq=matokeo2014

Kupata matokeo haya kulingana na Mikoa na Shule fuatilia hapa chini.

Skuli za Pemba:

Kidato cha Pili
1. Wilaya ya Mkoani
2. Wilaya ya Chake Chake
3. Wilaya ya Wete
4. Wilaya ya Micheweni

Darasa la saba

Vipawa maalum na Michepuo Pemba

Kwa upande wa Skuli za Unguja ni kama ifuatavyo:
Kidato cha Pili
1. Wilaya ya Mjini
2. Wilaya ya Magharibi
3. Wilaya ya Kusini
4. Wilaya ya Kati
5. Wilaya Kaskazini "A"
6. Wilaya ya Kaskazini "B"

MATOKEO YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA PILI KWA SKULI BINAFSI NA SKULI ZA SERIKALI ZENYE MICHEPUO KWA MWAKA 2014

1.KIDATO CHA PILI KWA SKULI ZA SERIKALI ZENYE MADARA YA MICHEPUO UNGUJA NA PEMBA

 2.  KIDATO CHA PILI SKULI BINAFSI UNGUJA NA PEMBA

 Shukran: Napenda kuwasilisha,

 Masoud Khamis Hamed (masoudkh7@gmail.com)


Continue Reading | Maoni



  • The Members of UWESESCO shall be all students who have been admitted and registered
    to the School at various levels.



  • The active member shall be the one stipulated in the Article No.7 above provided
    that he or she is a full time student.



  • Non active member shall not be entitled to the rights in Article No.9 shall be the one
    who is in one or another fails to attend classes or he/she is not a full time student.



  • The membership retires upon the completion of his or her tenure at UWESESCO.


YALIYOJIRI UWESESCO LEO


 
Support : Masoud Khamis Hamed
Copyright © 2011. Skuli ya Sekondari ya Uweleni - All Rights Reserved