Assalaam alaykum warahamtullahi wabarakatuh, mpenzi msomaji wa Blog hii katika ukurasa huu utapata nafasi ya kusikiliza Qur'an Tukufu Online.
Na Tunapenda kukuarifu kwamba CD za Qur'an hizi na nyengine zinapatikana kwa bei nafuu kabisa Uweleni Mkoani Pemba kwa Ndugu Masoud Khamis Hamed Al-Bimani ,Unaweza kuwasiliana naye kupitia Namba: +255 773 176 174 au
kwa barua pepe: masoudkh7@gmail.com au 20111077@css.edu.om
AHSANTENI.
No comments:
Post a Comment