Assalaam alaykum warahatullahi wabarakatuh, ndugu Mwanafunzi na Mtembeleaji wa Blogi hii, kupitia ukurasa huu utapata fursa ya kujifunza Lugha ya Kiarabu ukiwa nyumbani kwako, Walimu Mahiri na kwa Usluub mwepesi na wa kisasa wa kufundishia.
DVD za Darsa hizi na nyengine zinapatikana kwa bei nafuu kwa kijana
Masoud Khamis Hamed, unaweza kuwasiliana naye kwa Simu namba 00 255 773
176 174, au kwa barua pepe: masoudkh7@gmail.com au 20111077@css.edu.om
Ahsanteni.
1 comment:
Mashallah tabaraka Rahman, tunakushkuruni sana kwa kuanzisha blog hii, ambayo inatufaidisha mambo mengi sana, Mola awajaze kheri hapa duniani na huko Akhera in shaa Allah.
Post a Comment