Assalaam alaykum warahamtullahi wabarakatuh, Baraza la Mitihani
Zanzibar kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imetangaza
matokeo ya Mtihani wa kidato cha Pili kwa Shule za Zanzibar za Serikali
na Binafsi, kuona matokeo hayo tafadhali bofya kitufe hapo chini.
Kwa
waliopasi Wamshukuru Mungu kwa neema yake, na waliokuwa hawakufanikiwa
wasivunjike moyo In Shaa Allah wajiendeleze, Allah atawafungulia.
No comments:
Post a Comment