Assalaam alaykum warahamtullahi wabarakatuh, Baraza la Mitihani Zanzibar
kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar imetangaza matokeo
ya Mtihani wa darasa la sita na la saba kwa Shule za Zanzibar za Serikali na
Binafsi, kuona matokeo hayo tafadhali bofya kitufe hapo chini.
Kwa waliopasi Wamshukuru Mungu kwa neema yake, na waliokuwa
hawakufanikiwa wasivunjike moyo In Shaa Allah wajiendeleze, Allah
atawafungulia.
No comments:
Post a Comment