Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya Mtihani kidato cha sita, tafadhali bofya kitufe hapo chini kuona.
Hongera
kwa wote waliofaulu na pole kwa wote waliofeli, wasikate tamaa wajaribu
bahati yao tena kwa kumtegemea Muumba, kwani jitihada haiondoi Kudra.
Tafadhali waambie marafiki kuhusu sisi.
No comments:
Post a Comment