KARIBU UWESESCO - SKULI YA SEKONDARI YA UWELENI; P.O.BOX 100; TEL: +255 24 245 6182; EMAIL: uwesesco@gmail.com ;WEB: http://uwesesco.blogspot.com UWELENI MKOANI PEMBA...
Home » » Tangazo la Nafasi za masomo Zanzibar

Tangazo la Nafasi za masomo Zanzibar

Chuo cha uandishi wa habari Zanzibar kimeanzisha muhula mpya wa masomo utakaoanza rasmi mwanzoni mwa mwezi wa may 2015. Hii ni fursa pekee ya kujiendeleza taaluma kwa watendaji wa serekali na sekta binafsi pamoja na wahitimu wa kidato cha nne waliokosa sifa za kuendelea na masomo ya kidato cha tano.

Miongoni mwa kozi zinazotolewa ni kama zifuatavyo:

Diploma in journalism yaani (stashahada ya uandishi wa habari)

•Diploma in public relations and advertizing (stashahada ya uhusiano wa umma na matangazo)


•Diploma in international relations and diplomacy (stashahada ya uhusiano wa kimataifa na diplomasia)


•Certificate in journalism (cheti cha uandishi wa habari)


•Certificate in information technology (cheti cha teknolojia ya habari)


•Certificate in business plan and administration


•Certificate in languages and interpretation (cheti cha lugha mbali na tafsiri) kinachojumuisha lugha za kichina, kifaransa, kingereza, kiarabu na lugha za ishara (sign languages)


Certificate in public relations and advertizing (cheti cha uhusiano wa umma na matangazo)
Aidha chuo cha uandishi wa habari zanzibar kinaendelea pia kutoa kozi mbali za muda mfupi yaani (short courses) kama zifuatavyo :-

•Short course in public relations and advertising
•Short course in Chinese language
•Short course in basic journalism
•Short course in presentation and art of public speaking (taaluma ya kutoa hotuba na    uwasilishaji)


•Short course in research development skills (mbinu za kufanya utafiti) hii ni mahasusi kwa wanafunzi wa vyuo na watu wengine.


Chuo kipo mtaa wa vuga mkabala na afisi ya mkuu wa mkoa wa mjini magharibi Zanzibar, .fika chuoni kwa maelezo zaidi au wasiliana nasi kwa kupiga simu 0776805884 au 0773187274 wahi haraka nafasi ni chache.

Share this article :

No comments:

Post a Comment



  • The Members of UWESESCO shall be all students who have been admitted and registered
    to the School at various levels.



  • The active member shall be the one stipulated in the Article No.7 above provided
    that he or she is a full time student.



  • Non active member shall not be entitled to the rights in Article No.9 shall be the one
    who is in one or another fails to attend classes or he/she is not a full time student.



  • The membership retires upon the completion of his or her tenure at UWESESCO.


 
Support : Masoud Khamis Hamed
Copyright © 2011. Skuli ya Sekondari ya Uweleni - All Rights Reserved