Tuesday, 2 June 2015
MWALIMU anaeshughulikia majenzi skuli ya sekondari ya
Uweleni Mkoani Pemba, Mohamed Ussi Shaame, akiwafahamisha jambo waandishi wa
habari wa kujitegemea wanaoandikia gazeti la Zanzibar leo Pemba, wakati
walipofika kuangalia maendeleo ya jengo hilo, ambalo linahitaji msaada wa
haraka ili likamilike, (Picha na Haji
Nassor, Pemba).
MWANDISHI wa shirika la magazeti ya serikali Pemba, Abdi Juma Suleiman, aliesimama katikakati, akimsikiliza kwa makini mwalimu anaeshughulikia majenzi skuli ya sekondari ya Uweleni Mkoani Pemba, Mohamed Ussi Shaame, juu ya kuwataka waliohidi kutoa fedha taslimu shilingi 9.5 milioni, kwa ajili ya jengo hilo, kuharakisha michango yao, (Picha na Haji Nassor, Pemba).